Tell your friends about this item:
Waraka wa Paulo kwa Waefeso Jr Christopher Mwashinga
Waraka wa Paulo kwa Waefeso
Jr Christopher Mwashinga
Waraka wa Paulo kwa Waefeso, ni moja ya barua za muhimu sana katika Biblia-Agano Jipya. Katika waraka huu, Mtume Paulo anaelezea kwa undani jinsi Mungu alivyowafanya Wamataifa na Wayahudi kuwa kitu kimoja katika Kristo. Anafunua siri kuu ya ukombozi na kuonesha kwamba watu wote, yaani Wayahudi na wasio Wayahudi ni sawa mbele za Mungu na kwamba wote wanaokolewa kwa neema kwa njia ya imani. Kupitia kwa Yesu Kristo, wote ni watoto wa Mungu na wote ni wenyeji katika maskani yake. Ujumbe wa Paulo katika waraka huu, umeifanya Habari Njema ya wokovu, kuwa Habari Njema kweli kweli. Mwandishi wa kitabu hiki, Mchungaji Christopher Mwashinga, amezielezea sura tatu za kwanza za Waraka huu, kwa namna rahisi, fungu kwa fungu, na kufanya ujumbe wa Paulo ueleweke vizuri kwa msomaji yeyote bila kujali kiwango chake cha elimu.
| Media | Books Paperback Book (Book with soft cover and glued back) |
| Released | July 17, 2020 |
| ISBN13 | 9798666909997 |
| Pages | 128 |
| Dimensions | 127 × 203 × 8 mm · 145 g |
| Language | English |
More by Jr Christopher Mwashinga
Show allSee all of Jr Christopher Mwashinga ( e.g. Paperback Book )