Tell your friends about this item:
Tanzania Mpya+: Lango la Nchi ya Ahadi Heri Marco
Tanzania Mpya+: Lango la Nchi ya Ahadi
Heri Marco
Kitabu hiki kitakusaidia kupanua wigo wa uelewa juu ya Tanzania Mpya+ na hatima yake. Pia, kitabu hiki kitakusaidia kuona picha ya Tanzania Mpya+ na kukupa hamasa ya kujituma zaidi ili mimi, wewe, na sisi tuwe sababu ya kufikia malengo yaliyo kusudiwa.
Tanzania Mpya+ katika kitabu hiki ni zaidi ya taifa.
Tanzania Mpya+ ni mimi katika mtazamo unaofaa, fikra huru na utashi wa utendaji wenye matokeo yenye tija.
Tanzania Mpya+ ni wewe katika mtazamo unaofaa, fikra huru na utashi wa utendaji wenye matokeo yenye tija.
Tanzania Mpya+ ni sisi katika mtazamo unaofaa, fikra huru na utashi wa utendaji wenye matokeo yenye tija.
Mimi ni Tanzania Mpya+! Wewe ni Tanzania Mpya+! Sisi ni Tanzania Mpya+!
54 pages
| Media | Books Paperback Book (Book with soft cover and glued back) |
| Released | December 13, 2021 |
| ISBN13 | 9798783968983 |
| Publishers | Independently Published |
| Pages | 54 |
| Dimensions | 133 × 203 × 3 mm · 72 g |
| Language | Afrikaans |