Mkimbizi Safarini Ulaya - Christopher Zacharia Lameck - Books - Lulu.com - 9781716981197 - March 20, 2020
In case cover and title do not match, the title is correct

Mkimbizi Safarini Ulaya


Get an email once the item is available
Do you have a profile? Log in
Get notified about new Christopher Zacharia Lameck releases
Add to your iMusic wish list

Not rated yet

Shida haipigi hodi, lakini hakuna shida isiyo na mwisho, wako wengi waliotangulia wamepata shida lakini shida zao zimebakia historia, wangine walitumia shida zao kuwa kisingizio cha kutorekea ng'ambo kwa kuteka ndege nyara kwa kutumia silaha za bandia lakini wakaishia kifungoni. Wengine walijaribu kuzamia meli na kuishia kutoswa baharini. Kufanya kazi kwa bidii ndiyo njia pekee ya kujiepusha na shida, tamaa ya kufika ng'ambo imeponza wengi. Wapo walioozea kifungoni, wapo waliokuwa chakula cha papa na wapo waliofanikiwa kufika ng'ambo lakini wanaishi na kulala mitaani na hawana namna yoyote ya kurudi nyumbani.

Media Books     Paperback Book   (Book with soft cover and glued back)
Released March 20, 2020
ISBN13 9781716981197
Publishers Lulu.com
Pages 68
Dimensions 148 × 210 × 4 mm   ·   90 g
Language Swahili  

More by Christopher Zacharia Lameck

Show all